in

Issue ya Asake: Mwandishi nguli wa Nigeria amkosoa Diamond na kumshauri apige kambi wiki 2 Lagos

Issue ya Asake: Mwandishi nguli wa Nigeria amkosoa Diamond na kumshauri apige kambi wiki 2 Lagos

57275 Views 1210 Likes

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

 1. Mbona hamna tatizo ivi sms mbona nyie niwatu wanao jielewa ivi nguvu ya bongo freva inaweza kutoboa kimataifa mwache atafute njia yakuingia dunia hii tuje kumsema pale akichukua grami na bado akaendelea kusaund swagha za naija labda kwa sasa mm binafsi naona yupo sawa

 2. ASAKE WA TANDALE , Kuchamba kwingi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ LEARN TO CREATE YOUR OWN IDENTITY BRO AT THE END OF THE DAY THE LAW WILL TAKE A AWAY.

 3. East African labels kwa nini tunashindwa, unataka uandike nyimbo, utunge melody, ufanye chorus, uko na producer mmoja. Professional labels invest in single songs, they have a writer, melody composer, chorus and or hook composers, beat maker and producers, lets learn from Nigerians not steal from them. Same case na Congo, wanatumia band za watu kumi kutengeneza mziki.

 4. Kumbukeni hivi ni kwanini mtu akifanya kosa moja huwaga lile kosa moja watu wanalichukua na kufuta yale mazuri yote alioyoyafanya? Huyu mtu ni binadamu na anaweza akakosea jambo linaweza likarekebishika. Ni Msanii mzuri sana na tunamkubali na uamuzi anaoyeye mwenyewe.

 5. The sad thing is Diamond did it intentionally. Not only in the song featured by Mbosso, he copied a lot.
  We can all agree that he's talented, and he did a lot of original great music. But mehn, sometimes it's just too obvious, and intended for the promo

 6. Uyo diamond wenu mwizi ana copy ata wasani wetu wa congo๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ ๐Ÿ˜ mwambiyeni ayimbe bongo Flava yayo. Kila inchi ina style ya beats yao ๐Ÿคซ sisi tunajua Tanzania kwa bongo Flava yao like Alikiba sings.

 7. asake let me tel u something u dont knw afrobeat is from africa isnt from nigeria DiamondPlarnumz is always do the best like another artist from another continet do .u got nothng to say about Diamon my boy asake dont use ur Arrogance word….. we watching you when u talk nonsense

 8. Diamond anaijua business ya music saiv. Sisi wabongo tutacomment uozo mwing kumhusu yeye, tutasema kaishiwa au kakosa creativity nk. Kumbe ana targets zake subirin muone…nimekaa palee

 9. Napenda diamond anachokifanya ni mfanyabiashara kabisa anajua kutafuta attention popote ,Ili ufanikie inabidi u spend kwa target Fulani !so no matter what happened diamond ni Simba n namushauri diamond tuambutue wa Nigeria battle ,tuakimbize na hii bongo fleva kwa sababu kinawezekana !

 10. Kimsingi mtu anapotafuta ubunifu huwa anasikiliza wenzie pia with regards hakuna kipya chini ya jua nitatoa mfano mmoja wa wazi wa wimbo wa Mr. Flavor "Sawale" na Chambua kama Karanga ya legendary wetu Saida Karoli mwamba alijitafuta akajipata kutoka kwenye ngoma ya mama yetu wa Bukoba no one made it a big deal wenye kujua wanajua. Back to the matter huyo mwandishi amemshauri vizuri Simba ktk kila linalosemwa kuna sehemu ya uzuri au faida ndicho anachopaswa kutazama

 11. Finally someone took the words out of my mouth. People have been watching diamond copy and steal stuff and they kept quiet. Diamond needs to start being creative! Africa is starting to realise the importance of copyright and copyright laws.

  Even Diamond's protege Zuchu is in hotwater because of copying!

  That is why I respect Harmonise!

 12. i understand diamondplatnumz… anapambana sana kulisimamisha jina lake ndo mana anabid adanye kila linalowezekana ata kurisk mziki wake na status yake il atoboe hili soko gumu la mziki so kaz rahic… ko anachofanya nikufight kwa kila njia…. tusimponde still n msanii wetu….. Aende lagos

 13. Wanigeria huwa wanafaidika kutoka Diamond lkn Diamond hafaidiki na kitu kutoka kwao hata heri wacongo ndio maana nyimbo alizofanya nao hazifanyi vizuri Youtube kushinda za wacongo kwa hiyo Diamond asifate ushauri wake hautamsaidia kitu

 14. Lakini sky mbona wasani wengine wakina na inshu hizo hizo hua haufuatilii sana na kuwatafuta wachambuzi wa muziki lakini kwa Mondi hua unawatafuta hata walioko inchi husika ya Nigeria ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† ama kweli kupata maudhui ni ngumu bongo.